
Citizen TV Kenya
@citizentvkenyaMaafa Hospitalini Makadara: Family for waathiriwa zadai kaunti haijawajibika Family tatu zilizopoteza wapendwa wao Makadara Watu hao walifariki baada ya mitambo ya oxygen suitcase Serikali ya kunti iliahidi kusaidia familia za waathiriwa #CitizenNipashe @JamilaMohamed https://t.co/KgqIFkmL3N